Daktari wa Ebola ameaga dunia licha ya kupewa dawa ya Zmapp
Daktari mmoja kutoka Liberia ambaye aliambukizwa ugonjwa wa Ebola na kutibiwa na dawa ya ZMAPP ameaga dunia.
Waziri mmoja wa Liberia alisema kuwa dakta
Abraham Borbor aliyekuwa miongoni mwa madaktari 3 waliopewa dawa hiyo
ambayo haijafanyiwa majaribio aliaga dunia mapema leo .Watu wanaokadiriwa kufikia 2,615 Afrika Magharibi wameambukizwa ugonjwa wa Ebola tangu uzuke mwezi Machi mwaka huu.
SOMA ZAIDI http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/08/140825_ebola_liberia_doctor_zmapp.shtml
No comments:
Post a Comment