
Tatizo ili uhathiri zaidi wanawake, wajawazito na watoto na yafuatayo ni mambo ambayo unaweza kufanya kujilinda na tatizo ili.
Kula chakula na lishe yenye madini ya chuma, folic, vitamin B na C
Kujikinga na kutibiwa mapema magonjwa yanayosababisha upungufu wa damu kama malaria, minyoo, na mengineyo.
Kuku, samaki, matunda na mboga za majani ni vyakula muhimu sana.
BOFYA HAPA KWA MSAADA, USHAURI NA MATIBABU
No comments:
Post a Comment