Wednesday, 20 January 2016

HIZI NI SABABU KWA NINI MAMA MJAMZITO ANASHAURIWA KULA SAMAKI WABICHI MARA KWA MARA


Ulaji wa samaki wabichi kwa mama mjamzito husaidia kukuza ubongo na mfumo wa fahamu kwa mtoto aliyeko tumboni kutokana na kupata virutubisho aina ya mafuta ya omega-3 and omega-6 ambayo husaidia pia kuimarisha afya ya macho, tabia na mama mjamzito kujifungua kwa wakati.

No comments:

Post a Comment

.