Monday, 4 August 2014

ATHARI ZA MVINYO KWA AFYA YAKO.

Pamoja na kutumiwa kupunguza uchovu, kusaidia mmeng'enyo wa chakula, kuharisha, kutapika na kuzuia maumivu watafiti wanadai kuwa mvinyo mwekundu (Red wine) hauna manufaa kama ilivyodhaniwa kuwa nayo kwa moyo wa binadamu pale unapotumiwa mara kwa mara na kupita kiasi kama ifuatavyo.

Sunday, 3 August 2014

MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA

Vidonge vya kuzuia mimba huwa na hormoni za estrojeni na projesteroni zilizotengenezwa kwa ajili kuzuia hutoaji wa yai kutoka kwenye ovari kwa. Mara nyingi dawa hizi hutumika kuanzia siku ya tano ya mzungungo wa hedhi kwa muda wa siku 21 na huwa na madhara yafuatayo kwa mtumiaji

HASARA ZA KUJICHUA(PUNYETO)

Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….
Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu. 

HUDUMA YA KURUDISHA MAPIGO YA MOYO NA UPUMUAJI



Huduma hii inaweza kutolewa wakati wowote na mtu yoyote ili kuokoa maisha ya mtu mwingine pale anapoanguka na kupoteza fahamu. Huduma hii huitajika haraka kurudisha mapigo ya moyo na upumuaji ili kuzuia hali ya ubongo kukosa damu na chakula na hatimaye kifo.

Saturday, 2 August 2014

WASILIANA NAMI KWA MSAADA, MASWALI NA MAJIBU:


Email: themistoclesn@yahoo.com
            nyeme25@gmail.com
Phone call& text: 0719294768
                              0764591768

W.H.O:EBOLA INAWEZA KUWA JANGA BAYA

Mkurugenzi wa shirika la afya duniani Margeret Chan amesema kuwa kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola Magharibi mwa Afrika kunaweza kusababisha janga baya iwapo hautazuiwa.

Friday, 1 August 2014

MLIPUKO:EBOLA INAVYOENEA KWA KASI YA KUTISHA AFRICA

Shirika la afya duniani linasema kuwa ugonjwa wa Ebola unaendelea kuenea kwa kasi ya kutisha.
Mkuu wa shirika hilo, Margaret Chan ameambia mkutano wa viongozi wa kikanda kuwa ikiwa watakosa kuudhibiti utasababisha janga la kuogofya kwa binadamu.

.