Monday, 19 January 2015

UKOSEFU WA VITAMINI A UNAKUWEKA KATIKA HATARI YA KUUGUA KISUKARI

Tafiti zinaonyesha kuwa ukosefu au upungufu wa vitamini A mwilini ambayo hutusaidia kuona vizuri pia huweza kusababisha ugonjwa wa kisukari,

MWANAMKE ALIYEJIFUNGUA NA KUMCHOMA MOTO MTOTO KATIKA YA BARABARA.

Mwanamke nchini Marekani anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji baada ya kuamua kumweka mtoto wake aliyetoka kujifungua katikati ya barabara kisha kumchoma moto.

UGOMVI ULIOSABABISHA MUME KUMCHINJA NA KUMKATAKATA MKEWE.

Naveed Ahmed, mwenye umri wa miaka 41,amekiri kumchinja na kumkatakata mkewe ambaye ni mama wa watoto wake wawili.

KWA WANOPENDA UREMBO BANDIA SOMA KILICHOMKUTA MREMBO HUYU

Andressa Urach mshindi wa pili katika mashindano ya mrembo mwenye makalio mazuri na miguu mizuri zaidi kupitia kwenye mtandao wa internet alidungwa sindano za kemikali ili kufanya makalio yake kuwa makubwa pamoja na kuongeza ukubwa wa miguu yake. 

Saturday, 17 January 2015

FANYA YAFUATAYO KWA MWANAO ANAYETAPIKA AU KUHARISHA.

Jambo muhimu zaidi unaweza kufanya kama mtoto wako anatapika na kuharisha ni kuhakikisha anaendelea kunywa maji ya kunywa.  Kama mtoto wako ananyonya , endelea kumnyonyesha mara kwa mara. Kama wamepungukiwa maji, , atakuwa anahitaji maji ya ziada. Uliza mfamasia au mtaalamu wa afya kama wangeweza kupendekeza kumpatia dawa ya kusaidia kutopunguka kwa maji mwilini (ORS).

SOMA MADHARA YA SUKARI NA UYAEPUKE MPEMA

Matumizi ya sukari kupita kiasi katika vyakula na vinywaji laini huongeza hatari ya kushambuliwa na matatizo ya saratani, unene kupita kiasi, kuzeeka mapema, na magonjwa ya moyo.

Wednesday, 14 January 2015

MATUMIZI YA LIFT YAPIGWA MARUFUKU KUPAMBANA NA TATIZO LA UZITO MKUBWA.

 
Majengo mengi yaliyo katika ghorofa kuanzia nne na kuendelea yamekuwa yakiwekwa lift za umeme ili kusaidia watu kupanda na kushuka kwa urahisi na uharaka, nimekutana na hii story ya Gavana mmoja kuzuia watu kutumia lift ili watu wapambane na tatizo la uzito mkubwa.

.