Tafiti zinaonyesha kuwa wazee wengi wanaofanya mazoezi ya kutembea na kukimbia huwawezesha kuendelea kuwa na uwezo na afya bora ya viungo pamoja na kupunguza maumimivu ya miguu na magonjwa mengi ya uzeeni au kuwafanya wasizeeke mapema.
Friday, 28 November 2014
Wednesday, 26 November 2014
Saturday, 22 November 2014
KWA WANAOSUMBULIWA NA CHUNUSI.
Uchaguzi wa dawa hutegemea na jinsi ugonjwa ulivyoshambulia uso
(severity), sehemu iliyoharibika huhitaji kufanyiwa usafi wa kutosha
kila siku tena uwe wa ziada zaidi ya kawaida kwa kutumia sabuni zenye
antibaotiki, kubadilisha tabia ya chakula, matumizi ya kemikali za
Sulfur salicylic acid na Resorcinol haisaidii kuondoa chunusi.
KAMA UNASUMBULIWA NA HARUFU MBAYA YA KWAPA.
Harufu
ya kwapa haisababishwi na kutokwa na jasho bali bakiteria wanaovutiwa
na jasho au unyevu chini ya kwapa. Hii umkosesha mtu ujasiri na
kujiamini, au kuwa kero mbele za watu. Ili kwapa lako liwe na harufu
nzuri, kavu na safi fanya yafuatayo
MADHARA YA KULALA NA NGUO ZA NDANI
Madaktari na waalamu wa afya wanashauri
kulala bila nguo za ndani wakati wa usiku ili kuwezesha viungo vya uzazi
kupata hewa ya kutosha ili kuepuka maambukizi ya fangasi na kutoa
harufu mbaya katika sehemu za siri. Kuvaa nguo za ndani wakati wa kulala
usababisha kubana sehemu za siri na joto kupita kiasi ambayo usababisha
joto kupita kiasi na unyevu na kuvutia ukuaji wa fangasi na bakteria
kwa jinsia zote huku pia zikisababisha upungufu wa mbegu za kiume na
harufu mbaya.
Wednesday, 19 November 2014
ROBOTI KUPOTEZA AJIRA ZA WATU ZAIDI YA ASILIMIA 65
Raia wa Uingereza na Australia wako katika hatari ya kupoteza ajira kutokana na mipango ya kazi zao kuchukuliwa na mitambo ya kujiendesha(Roboti). Hii ni mipango ya miaka 20 ijayo ambapo
Subscribe to:
Posts (Atom)





