Bizari, almaarufu kama kiungo cha chakula, ina ladha ya pilipili na
harufu kali kiasi kwa kunusa. Ni mojawapo ya viungo muhimu kwenye
chakula, hasa pilau. Bizari inatokana na mizizi, ni jamii ya tangawizi.Bizari hutumika katika kutengeneza curry na haradali (mustard), na ndio huifanya haradali kuwa na rangi yake ya manjano.
Faida za Bizari
Kuzuia saratani (Cancer)
Kuzuia Leukemia kwa watoto
Inasaidia kwenye kuimarisha uzalishaji mbegu za uzazi
Inaimarisha kinga ya mwili
Inaimarisha macho na kuyafanya kuwa na afya
Inasaidia kuondoa mafuta yasiyo mazuri na kushusha kiwango cha kolestroli (Cholesterol)
No comments:
Post a Comment