Serikali imeunda kikosi
maalumu kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ukatili wanaofanyiwa watu
wenye ulemavu wa ngozi Albino.
Wednesday, 14 January 2015
Wednesday, 7 January 2015
FANYA YAFUATAYO KILA SIKU KWA AFYA BORA YA MWILI WAKO.
1. Jiwekee utaratibu wa kufunga kwa siku mbili au tatu, wakati huo
ukitumia maji ama juisi ya matunda au vyote kwa pamoja. Usile chakula
kingine chochote. Faida ya kufunga ni kuondoa sumu mwilini, ambazo
mara nyingi zimekuwa chanzo cha magonjwa.
MARADHI YA NGOZI YANYOTOKANA NA NGONO ISIYO SALAMA
Sunzua kitaalamu warts ni ugonjwa wa ngozi unaofahamika na wengi. Ugonjwa huu husababishwa na virusi ambavyo kitaalamu huitwa human papilloma virus.
Karibu asilimia 10 ya wanadamu wamewahi kupata athari za virusi vya ugonjwa huu, achilia mbali kuumwa sunzua.
Sunday, 4 January 2015
SIMANZI NCHINI KENYA BAADA YA KIFO CHA MTOTO WA RAILA ODINGA
Simanzi kubwa imeikumba familia ya waziri mkuu wa zamani wa Kenya
Raila Amolo Odinga baada ya kutoka kwa taarifa ya kifo cha mtoto mkubwa
wa mwanasiasa huyo mashuhuri nchini Kenya asubuhi ya leo .
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA SELI MUNDU (SICKLE CELL)
Kabla ya kuanza kuuelezea ugonjwa huu ni vyema kufahamu jinsi gani damu husafirishwa katika mwili wa
damu.
Himoglobini (haemoglobin) ni molekyuli ambayo ni sehemu ya
chembe hai nyekundu zilizoko mwilini.Himoglobini hufanya kazi ya
kuzisaidia chembe hai nyekundu kubeba hewa ya oksijenu kutoka kwenye
mapafu kwenda sehemu nyingine za mwili.
UMUHIMU WA MAYAI KWA AFYA YAKO.
Mayai yana kiwango kikubwa cha virutubisho na madini ambayo ni muhimu sana kwa afya yako. Hivi ni baadhi ya virutubisho vinavyoweza kuujenga mwili wako asa unapokula yai walau wara chache kwa wiki;-
Saturday, 3 January 2015
SABABU NA TIBA ZA UKOSEFU WA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA
Wanawake wengi nchini na duniani kwa ujumla wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ( LACK OF LIBIDO ) pamoja na tatizo la kutofika kileleni. Inasadikiwa kuwa, katika kila wanawake kumi, angalau wanne kati yao wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa na kutofika kileleni wakati wa tendo.
SABABU ZA WANAWAKE KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA.
Sababu zinazo changia tatizo hili zimegawanyika katika makundi makuu mawili : ( A ) Sababu za Kisaikolojia { Psychological ) na ( B ) Sababu za Kimwili { Physical }
SOMA NA HII: SABABU ZA WANAWAKE KUOTA NDEVU
A. SABABU ZA KIMWILI " PHYSICAL"
1. Anaemia ( ugonjwa huu ni very common kwa wanawake kwa sababu ya kupoteza madini ya chuma wakati wa hedhi )
2. Ulevi Kupita kiasi ( Alcoholism )
3. Utumiaji wa Dawa Za Kulevya ( Kama Vile bangi n.k )
4. Magonjwa makubwa kama vile kisukari.
( Sababu zipo nyingi sana, hizi ni baadhi tu )
B : SABABU ZA KISAIKOLOJIA " PSYCHOLOGICAL "
Stress and overwork
Anxiety " Woga"
Kunyanyaswa kijinsia ama kubakwa wakati wa utotoni
Kuwa katika matatizo makubwa na mpenzi wako.
Kuishi katika mazingira magumu mfano kushare nyumba ama chumba na wazazi wako, wakwe zako ama watoto wako.
HIZI NI BAADHI YA SABABU ZINAZO WAFANYA WANAWAKE WENGI LEO HII KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA NA KUTOFURAHIA TENDO HILO.
Hata hivyo sababu hizi hazimuhusu kila mwanamke, wanawake wengine wanasumbuliwa na tatizo hilo tangu walipo vunja ungo.
Subscribe to:
Posts (Atom)



