Watu wengi husumbuliwa na ugonjwa wa U.T.I ambao ushambulia kibofu na mirija ya kupitisha mkojo mara kwa mara na kusababishiwa hathari kubwa ambazo ni ugonjwa kutokupona kabisa, kuoza, utasa na virusi vya ukimwi. zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo hupelekea mtu kutokupona anapotibiwa ugonjwa huu ambazo unaweza kuziepuka na kuepuka madhara makubwa:-
1. Kutokufanya usafi sehemu za siri na kuvaa nguo chafu au zenye unyevu.
2. Kutumia vyoo vya umma ambavyo si safi mara kwa mara
3. Kupulizia manukato sehemu za siri kujisafisha kwa sabuni zenye kemikali kali.
4. Kufanya ngono zisizo salama mara kwa mara.
5. Kutomaliza dose na dawa ulizoandikiwa na daktari baada ya kupata nafuu.
6. Matumizi ya dawa za kuzuia mimba pamoja na dawa zinazoshusha kinga ya mwili.
LIKE PAGE NA UNGANA NASI KWA MASWALI NA MAJIBU.
Wednesday, 18 November 2015
TAMBUA SABABABU ZA KUUGUA U.T.I MARA KWA MARA NA UZIEPUKE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment