Wednesday 20 January 2016

soma kuhusu ZIKA kirusi kipya kirusi kipya kinachosambazwa na mbu wa dengu

Zika virus is transmitted by the same Aedes mosquito that spreads dengue and chikungunya. Typically, it causes mild illness and a rash, but reports from Brazil suggest it may be causing birth defects in newborn babies of women who have had Zika.
The virus is native to parts of Africa and Asia, but it is now spreading locally outside of its native regions in people who have not traveled abroad. There is no vaccine or antiviral treatment for the virus

HIZI NI SABABU KWA NINI MAMA MJAMZITO ANASHAURIWA KULA SAMAKI WABICHI MARA KWA MARA


Ulaji wa samaki wabichi kwa mama mjamzito husaidia kukuza ubongo na mfumo wa fahamu kwa mtoto aliyeko tumboni kutokana na kupata virutubisho aina ya mafuta ya omega-3 and omega-6 ambayo husaidia pia kuimarisha afya ya macho, tabia na mama mjamzito kujifungua kwa wakati.

Wednesday 18 November 2015

TAMBUA SABABABU ZA KUUGUA U.T.I MARA KWA MARA NA UZIEPUKE.

Watu wengi husumbuliwa na ugonjwa wa U.T.I ambao ushambulia kibofu na mirija ya kupitisha mkojo mara kwa mara na kusababishiwa hathari kubwa ambazo ni ugonjwa kutokupona kabisa, kuoza, utasa na virusi vya ukimwi. zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo hupelekea mtu kutokupona anapotibiwa ugonjwa huu ambazo unaweza kuziepuka na kuepuka madhara makubwa:-
1. Kutokufanya usafi sehemu za siri na kuvaa nguo chafu au zenye unyevu.
2. Kutumia vyoo vya umma ambavyo si safi mara kwa mara
3. Kupulizia manukato sehemu za siri kujisafisha kwa sabuni zenye kemikali kali.
4. Kufanya ngono zisizo salama mara kwa mara.
5. Kutomaliza dose na dawa ulizoandikiwa na daktari baada ya kupata nafuu.
6. Matumizi ya dawa za kuzuia mimba pamoja na dawa zinazoshusha kinga ya mwili.
LIKE PAGE NA UNGANA NASI KWA MASWALI NA MAJIBU.

New 'Silent' Sexually Transmitted-Mycoplasma Genitalium.

Slightly more than 1 percent of 4,500 participants tested positive for a sexually transmitted disease known as Mycoplasma genitalium (MG), a sample survey in the United Kingdom indicates. The real news about this STD, though, is it isn’t very "new." The infection-causing bacterium was first identified in the early 1980s.
So why don't you know about this? Possibly because more than 90 percent of the MG-positive men and more than half the women did not report any warning signs. However, among the women who experienced symptoms, bleeding after sex was their most common complaint.

Friday 11 September 2015

Higher fish consumption beneficial for primary prevention of depression

"Higher fish consumption may be beneficial in the primary prevention of depression" the authors write. "Future studies are needed to further investigate whether this association varies according to the type of fish."
Depression affects an estimated 350 million people worldwide, making it the world's leading cause of disability. As things stand, it is also projected to become the world's second leading cause of disease burden by 2020.

HIZI NI DALILI ZA AWALI ZA UGONJWA WA KISUKARI, ZITAMBUE NA EPUKA MAPEMA UGONJWA HUU HATARI.

Zaidi ya robo tatu ya wagonjwa wa kisukari huwa na dalili na ishara  ambazo hushindwa kuzitambua mapema hivyo kukosa vipimo na matibabu ya mapema kukabiliana na tatzo hili. Zifuatazo ni ishara na dalili za awali zitakazokusaidia kujua kama unakabiliwa au uko katika hatari ya ugonjwa wa kisukari.

KAMA UNASUMBULIWA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UKOSEFU WA HAMU YA TENDO LA NDOA.

Kabla hutujafika mbali kama wewe hauna ndoa basi ishia hapa hapa. Elimu iliyopo ni kwa ajili ya walio ndoani tu. Wewe kijana nenda kacheza kiduku kwanza.

Kuna mambo mawili: Kwanza – Upungufu wa nguvu za kiume na, Pili – Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.

.