Miezi ya hivi karibu, Makamu wa rais, Dk Mohammed Gharib Bilal alinikuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi maskini zinazoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wa saratani za mfumo wa chakula na ini, ikilinganishwa na nchi zinazoendelea.