Katika mboga za majani na matunda kuna Kemikali iitwayo nitrate ambayo huboresha afya ya moyo pamoja na kukurinda dhidi ya ugonjwa hatari wa kisukari. Kemikali hii husaidia kurekebisha uzalishaji wa chembe za damu na kusaidia kutanuka na kusinyaa kwa mishipa ya damu na hupatikana asa katika majani ya maboga, spinichi mchicha n.k.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.
No comments:
Post a Comment