Monday 29 December 2014

MAMBO YANAYOKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA MAGONJWA YA MOYO

Haya ni baadhi ya mambo yanonayokuweka katika hatari ya kupata magonjwa ya moyo:
Umri mkubwa

1. Jinsia ya kike
2. Historia katika familia
3. Uvutaji sigara
4. Kutofanya mazoezi 
5. Lishe duni
6. Shinikizo la damu
7. Msongo wa mawazo
8. Uchafu.
9, Uzito kupita kiasi.
10. Ugonjwa wa kisukari
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI KUHUSU NJIA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA HAYA

No comments:

Post a Comment

.