Wednesday 24 December 2014

SOMA SABABU ZA MIGUU KUPASUKA (GAGA) NA UZIEPUKE

Kwa kawaida ngozi ya kwenye nyayo huwa ni kavu ukilinganisha na ngozi ya maeneo mengine mwilini. Vitu vinavyosababisha ukavu mpaka kupasuka nyayo ni

1.Kutembea sana peku
2.ukali wa jua na miguu unaikanyaga chini
3.Kuogea sabuni ambazo hazina moinsture
4.tatizo la kisukari na thyroid
5.kuogea maji ya moto kupitiliza kila siku
6.matatizo ya ngozi eczema ambayo hupelekea ngozi kuwa kavuu

BOFYA HAPA KULIKE PAGE KWA TIBA NA USHAURI 

No comments:

Post a Comment

.