Miili 15 ya raia wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki katika ajali ya meli kwenye
Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana Kigoma na mazishi yamefanyika
ambapo kwa upande wa Serikali Congo kulikuwa na muwakilishi ambaye ni
Balozi mdogo Congo, Riki Molema.
Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao.
Naibu
Balozi Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema akizungumza na
wananchi wa kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati
wa mazishi ya watu hao.
Mwenyekiti wa kijiji cha Kalilani, Songoro Saidi akiweka mchanga
akiweka mchanga kwenye kaburi la raia wa 15 Congo waliozikwa Kigoma.
Balozi mdogo wa ubalozi wa DRC, Riki Molema akiweka mchanga kwenye kaburi hilo.
No comments:
Post a Comment