UMUHIMU WA NDIZI KWA WAGONJWA WA MOYO NA FIGO
Kula
ndizi, ni muhimu sana kwa afya zetu kwani husaidia kupunguza hatari ya
magonjwa ya moyo na mishipa ya damu kama myocardial infarction, kiharusi
na kudhibiti shinikizo la damu.
Pia
ndizi huweza kuzuia matengenezo ya vidonda vya tumbo na duodenal ulcer
pamoja na kuzuia homa na kuzeeka kwa ngozi kutokana na kuwa na vitamini
C na E.
Aidha Ndizi inapendekezwa kuwa ni mlo wa kila siku kwa ajili ya watu wanaosumbuliwa na magonjwa wa figo na moyo.
No comments:
Post a Comment