Tuesday 9 December 2014

HIZI NI HATARI ZA VITAMBI NA UNENE KUPITA KIASI.

Tafiti zinaonyesha kuwa watu wenye vitambi, magonjwa ya presha, mafuta mengi na sukari nyingi mwilini wako katika hatari kupata maambukizi ya njia ya mkojo au magonjwa ya zinaa.
Hivyo wanashauriwa kubadili mifumo ya maisha, chakula na kufanya mazoezi ili kuepuka hatari hii. Like page na waelimishe marafiki.

No comments:

Post a Comment

.