Friday 28 November 2014

MAZOEZI YANAWEZA KUWASAIDIA WAZEE KUTEMBEA.

Tafiti zinaonyesha kuwa wazee wengi wanaofanya mazoezi ya kutembea na kukimbia huwawezesha kuendelea kuwa na uwezo na afya bora ya viungo pamoja na kupunguza maumimivu ya miguu na magonjwa mengi ya uzeeni au kuwafanya wasizeeke mapema.
Hii inawahusisha wale wanaofanya mazoezi kwa dakika 30 walahu mara 3 kwa wiki au kila siku.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.

No comments:

Post a Comment

.