Friday 14 November 2014

KUHUSU MSANII ALIYEPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUPIGA PICHA ZA UTUPU

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Uganda Kansiime Jemimah maarufu kama -Panadol wa Basajja- amepelekwa rumande baada ya kukanusha mashtaka ya kusambaza picha za uchi kinyume na sheria za nchi.

Msanii huyo wa kike alikamatwa pamoja na mtengezaji wa muziki wake mwezi uliopita kwa kile waziri wa maadili anasema ni kuhusiana na picha za uchi katika wimbo wake unaoitwa Ensolo Yange yaani mnyama wangu.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA TUPE MAONI YAKO KAMA SHERIA HII ITAWAFAA WASANII WETU TANZANIA 

No comments:

Post a Comment

.