Friday 7 November 2014

UTAFITI UNAOONYESHA KUWA WANAWAKE HUFANYA KAZI KULIKO WASICHANA.

Utafiti mpya uliofanyiwa kampuni ya Microsoft  unasema kuwa wanawake waliojifungua wanafanya kazi kwa bidii zaidi ya wasichana wasio na watoto.
Swali la utafiti huo lilikuwa ni nani kati ya wanawake wenye watoto na wasichana ambao hufanya kazi kwa bidii.
 BOFYA HAPA LIKE PAGE NA TUPE MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment

.