Friday 14 November 2014

TOFAUTI KATI YA TEZI DUME NA BUSHA.

Tezi dume na busha ni vitu viwili tofauti, tezi dume ndio kisababishi kikuu cha saratani ya kizazi kwa wanaume(prostate cancer)  hutokana na kuvimba kwa tezi dume ambayo hutokea kwa wanaume kuanzia umri wa miaka 28 na kuendelea.

Ila busha inabaki kama hali ya kujaa maji katika mifuko ya korodani ambayo husababisha uvimbe usio na maumivu na hutokea katika umri wowote hasa kwa watoto na wazee.
BOFYA HAPA NA LIKE PAGE KUJUA MENGI ZAIDI

 

No comments:

Post a Comment

.