Sunday 2 November 2014

MAMBO YANAYOWEZA KUKUSABABISHIA UGONJWA WA PRESHA.

1. Chuvi na sukari nyingi kwenye chakula au chai.
2. Unene uliozidi
3. Umri mkubwa au uzee
4. Figo ikiwa haifanyi kazi
5. Historia ya ugonjwa wapresha kwenye familia
6. Ugonjwa wa kisukari
7. Hasira na msongo wa mawazo.

No comments:

Post a Comment

.