Monday, 10 November 2014

MAMBO YANAYOSABABISHA MKOJO KUWA NA HARUFU MBAYA.

Yafuatayo ni mambo ambayo yanweza kusababisha mkojo kuwa na harufu mbaya asa wakati wa asubuhi na mara nyigine muda wowote ndani ya siku.

1. Upungufu wa maji mwili, pale kiwango unachotumia kinapokuwa kikubwa kuliko unachokunywa na uambatana na maumivu ya kichwa na uchovu.
2. U.T.I maambukizi katika mirija ya mkojo, kibofu na figo.
3. Ugonjwa wa kisukari, ambao husababisha kuongezeka kwa tindikali katika mkojo.
4. Fisitula inayotokana na kuunganika kwa kibofu na utumbo mdogo(Rectao-urethral fistula)
5. Magonjwa ya zinaa na saratani.

No comments:

Post a Comment

.