Monday 10 November 2014

AJALI YA NDEGE ILIYOCHUKUA MAISHA YA MCHUNGAJI NA FAMILIA YAKE.

Ajali mbaya ya ndege imechukua maisha ya mchungaji, familia yake pamoja na watu wengine sita siku ya Jumapili Novemba 9.

Mchungaji huyo Dkt. Myles Munroe ambaye ni mwanzilishi wa kanisa la Bahamas Faith Mininstries International, amepata ajali hiyo akiwa na mtoto wake mmoja, mke wake pamoja na watu wengine sita ambao waliokuwa wanasafiri kwenda Grand Bahama kwa ajili ya tamasha la Global Leadership Forum lililopangwa kufanyika siku ya leo Novemba 10.

No comments:

Post a Comment

.