Monday 3 November 2014

MATUMIZI YA BANGI YANAVYOHATHIRI AKILI.

Matumizi ya bangi huwa na madhara mengi yakiwemo ya papo hapo au ya muda mrefu.
Humfanya mtu kuwa na hisia za hali ya juu, kuongea sana, kukosa hamu ya kula, kupoteza uwepo katika mazingira sambamba na kuongea sana na hatimaye kupoteza fahamu. Matumizi ya muda mrefu yanhusishwa na magonjwa ya kifua, saratani ya mapafu, kupoteza kumbukumbu na magonjwa ya akili.
Like page na waelimishe marafiki kuepuka madhara haya.

No comments:

Post a Comment

.