Friday 7 November 2014

ZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU KWA AFYA BORA.


Kuna sababu nyingi zinazoamua hali ya afya ya binadamu kama vile mahusiano mazuri na wengine, mazingira bora, usafi, kipato au uchumi mzuri, vinasaba vya urithi, kupata elimu na kuelimika, mila na desturi njema, tamaduni nzuri, kazi na ajira salama, mazoezi, tabia njema, jinsi tunavyodhibiti msongo na mihemuko, stadi za maisha, jinsia, mlo kamili na lishe bora, imani, huduma za afya, matumizi bora ya mionzi na mtindo wa maisha kwa ujumla. Zingatia haya kwa afya bora na LIKE PAGE NA WASILIANA NASI KWA MSAADA ZAIDI.

No comments:

Post a Comment

.