Saturday 15 November 2014

HIZI NI FAIDA ZA BIZARI KIAFYA KATIKA MBOGA.

Bizari, almaarufu kama kiungo cha chakula, ina ladha ya pilipili na harufu kali kiasi kwa kunusa. Ni mojawapo ya viungo muhimu kwenye chakula, hasa pilau. Bizari inatokana na mizizi, ni jamii ya tangawizi. Bizari hutumika katika kutengeneza curry na haradali (mustard), na ndio huifanya haradali kuwa na rangi yake ya manjano.

Faida za Bizari

  • Kuzuia saratani (Cancer)
  • Kuzuia Leukemia kwa watoto
  • Inasaidia kwenye kuimarisha uzalishaji mbegu za uzazi
  • Inaimarisha kinga ya mwili
  • Inaimarisha macho na kuyafanya kuwa na afya
  • Inasaidia kuondoa mafuta yasiyo mazuri na kushusha kiwango cha kolestroli (Cholesterol)
  • Inaondoa mauvimu ya viungio vya mwili
  • Inasaidia  utendaji kazi wa ini
  • Inaimarisha chembe hai za mwili
  • Inasaidia kwenye mfumo wa usagaji chakula
  • Unasafisha mfumo wa damu mwilini
  • Inasaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.

No comments:

Post a Comment

.