Saturday 15 November 2014

#‎BREAKING_NEWZ‬ INASIKITISHA SANA MTOTO NURU ALIYETEKWA AUAWA KINYAMA ZANZIBAR


 
siku ya tukio watoto walikuwa wakicheza nje ya nyumba yao kama wiki moja iliyo pita ndipo kuna baba mmoja akapita akamwambia mtoto mmojaq wa kiume amuonyeshe duka lilipo maeneo hayo yule mtoto wa kiume alikataa ndipo alipo mwambia mtoto wa kike aitwae Nuru nipeleke dukani. yule mtoto akatangulia mbele yule babu akiwa nyuma. yule mtoto wa mwanzo wa kiume akakimbia kwa shangazi yake ambaye ni mama wa mtoto Nuru
ndipo mama wa binti huyo alipo acha shuguri zake na kuanza kumsaka binti yake ili kujua ni nani aliye msindikiza dukani lakini hawakuweza kumpata mpaka jana.  maeneo yakalibu na nyumba ya ya binti uyo Nuru alipokua anaishi majirani walisikia harufu kama kitu kinachomwa ndipo walipo sogea eneo la tukio na kukuta mwili wa mtoto uyo ukiwa umefunikwa kwa matofali
                                          picha apo nimtoto Nuru akiwa amefukiwa kwa mawe

No comments:

Post a Comment

.