Tuesday 4 November 2014

UWEZO WA PILI PILI KATIKA KULINDA AFYA YA MOYO.

Pili pili hutumika kama kiungo kwenye mboga na chakula katika kuongeza ladha. Mwilini pili pili husaidia kurekebisha mapigo ya moyo na mzunguko wa damu sambamba na kugandisha damu pale unapojikata au kuumia. Like page na waelimishe marafiki.

No comments:

Post a Comment

.