Monday 17 November 2014

TAMBUA MAPEMA SARATANI YA TEZI YA THAIROID (Thyroid Cancer) NA UIEPUKE.

Saratani hii  hutokea kwenye tezi ya thyroid iliyopo sehemu ya mbele ya shingo ya mwanadamu ikiwa na sehemu mbili (lobes) moja kila upande wa shingo na huwapata watu wa umri mbalimbali, kuanzia watoto mpaka watu wazima. 
Watu waliowahi kupigwa mionzi sehemu ya mbele ya shingo na wenye wazazi wenye tatizo ili wapo katika hatari kubwa ya kupata aina hii ya saratani.

Dalili
Dalili hutofautiana kulingana na aina ya saratani, ingawa kiujumla zaweza kujumuisha:
• kikohozi
• Shida wakati wa kumeza chakula, vinywaji hata mate
• Kuvimba kwa tezi ya thyroid
• Mabadiliko katika sauti, sauti kufifia au kuwa ya mikwaruzo
• Uvimbe kwenye shingo
• Tezi ya thyroid kuwa na nundu au vinundu 

KWA TIBA NA KINGA LIKE PAGE NA USIKOSE KUTEMBELEA BLOG HII KILA SIKU 
 

No comments:

Post a Comment

.