Monday 10 November 2014

DALILI ZA UGONJWA WA KIFUA KIKUU.

Ugonjwa wa tb au kifua kikuu unatibika kabisa kama ukiwahi mapema. Nenda hospitali mara uonapo dalili hizi:-

1. Kikihozi kisichoisha
2. Uchovu na kuishiwa kwa nguvu
mwilini
3. Kupoteza uzito
4. Kupoteza hamu ya kula
5. Kutokwa na jasho hata wakati kuna baridi
6. Maumivu ndani ya kifua
7. Kuishiwa na pumzi
8. Mate yaliyo na damu au kukohoa damu

No comments:

Post a Comment

.