Wednesday 5 November 2014

SUTI ZA KICHINA ZINAZOTENGENEZWA KWA AJILI YA EBOLA

Soko la viwanda nchini china limeanza kushika hatamu baada kubuni na kutengeneza suit mpya kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ebola tofauti na zile zilizokuwa zikitumika awali. Zitazame hapa chini.

No comments:

Post a Comment

.