Monday 3 November 2014

SHERIA ILIYOMRUHUSU MWANAMKE KUJIUA.

Euthanasia law ni sheria iliyomruhusu Brittany Maynard mwenye umri wa miaka 29 raia wa Marekani kujiua siku ya jumamosi kw kutumia dawa hatari kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya ubongo. Sheria hii inawaruhusu wanaosumbuliwa na magonjwa sugu kuamua kuishi au lah na mwanamke huyu aliamua kujiua kabla hajaanza kupata dalili za ugonjwa huu ili kuepuka maumivu hivyo kuzua mjadala mkubwa juu ya sheria hii..

No comments:

Post a Comment

.