Sunday 2 November 2014

INASEMEKANA KULALA NA WANAWAKE WENGI HUPUNGUZA SARATANI.

Kulala na wanawake wengi
kunapunguza hatari ya kupatikana
na ugonjwa wa saratani ya kibofu
cha mkojo,kulingana na utafiti.
Katika utafiti uliochapishwa katika
jarida la saratani,Watafiti kutoka chuo
kikuu cha Montreal wamebaini
kwamba ikilinganishwa na wanaume
walio na mpenzi mmoja katika
maisha yao yote,kulala na zaidi ya
wanawake 20 kunapunguza
uwezekano wa kupatikana na
ugonjwa huo kwa asilimia 28.
Wanaume 3,208 walishiriki katika
utafiti huo ambapo kati yao
Wanaume 1,590 walipatikana na
ugonjwa huo kati ya Septemba
mwaka 2005 na Agosti mwaka 2009.
Kwa jumla watafiti hao walibaini
kwamba wanaume wenye saratani ya
kibofu cha mkojo kuna uwezekano
mara mbili kwa wao kuwa na watu
wa familia zao wenye saratani.
Hatahivyo ushahidi unaonyesha
kwamba idadi kubwa ya wapenzi wa
kike miongoni mwa wanaume
inapunguza tishio la ugonjwa huo.
Mwanamume anapojamiana na zaidi
ya wanawake 20 katika maisha
yake,tisho la kupata ugonjwa huo
linapoungua kwa asilimia 28 mbali na
asilimia 19 kwa aina yoyote ya
ugonjwa wa saratani.
Utafiti huo pia umebaini kwamba
mmoja kati ya wanaume wanne wa
kiafrika hupatikana na saratani

No comments:

Post a Comment

.