Michirizi, mipasuko, mistari au kwa kitaalum Strech marksinasababishwa na vitu vifuatavyo:-
- Ujauzito
- Kuongezeka kwa mwili (unene)
- Ukuaji wa haraka wakati wa kubalehe
- Mabadiliko ya mwili
-Magonjwa ya fangasi.
Alama hutokea baada ya sehemu ya kati ya ngozi, dermis, kutanuka ghafla
ndani ya muda mfupi kutokana na vitu kama mazoezi makali (kunyanyua
vitu vizito), mtu kuongezeka uzito ghafla au obesity, pia kuna baadhi
ya dawa au homoni (Glucocorticoids), ambazo kwa namna moja au nyingine
huathiri tishu za kwenye ngozi na hivyo kupelekea mtu akapata alama za
michirizi. Ujauzito kwa baadhi ya wanawake na pia mambo ya kurithi
yameonekana kuchangia mtu kupata alama hizi katika ngozi yake.
LIKE PAGE NA WASILIANA NASI KWA USHAURI NA TIBA.
No comments:
Post a Comment