Sunday 2 November 2014

MAJI YANAYOFAA KWA MTU ANAYEHARISHA

Mtu anapoharisha hupoteza maji mengi mwilini na kuufanya mwili kuwa dhaifu. Yafuatayo ni maji unayoweza kuyatumia nyumbani wakati unapopatwa na tatizo ili:

1. Maji yenye mchanganyiko wa chumvi na sukari.
2. Maji ya mchele
3. Maji yenye mchanganyiko wa limao.
4. Supu
5. Maji ya madafu,
Epuka juisi, soda, pombe, chai, kahawa na pata muda mwingi wa kupumzika ili kurudisha nguvu.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI

No comments:

Post a Comment

.