Saturday 15 November 2014

TAMBUA MAPEMA KAMA UNA UPUNGUFU WA MAJI MWILINI.

Dalili zifuatazo zitakusaidia kugundua kama una upungufu wa maji mwilini.

1. Kuisi kiu mara kwa mara.
2. Kutopata haja ndogo au haja ndogo yenye rangi tofauti.
3. Ngozi kusinyaa au midomo kuwa mikavu.
4. Kuchoka mara kwa marana maumivu ya kichwa
5. Kulia bila kutoa machozi kwa watoto wadogo.
6. Kukosa choo.
LIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI

No comments:

Post a Comment

.