Wednesday 5 November 2014

FAIDA YA WANAWAKE WAZEE KUWA NA MAHUSIANO NA VIJANA.

Tafiti zinaonyesha kuwa wanawake wazee hupata faida nyingi pale wanapojenga uhusiano na vijana(serengeti boys). Hii ni kutokana na kupunguza msongo wa mawazo na hasira ambavyo huongezeka kila umri unavyoongezeka hasa kwa wanawake kutokana na upungufu wa hormoni za kike. Pia wanawake hawa huwa na nafasi kubwa ya kupata mtoto pamoja na uwezo wao kupungua ifikapo miaka 40.
Like page na tupe maoni yako.

No comments:

Post a Comment

.