Sunday 2 November 2014

DAWA YA KIKOHOZI CHA MUDA MREFU.

Changanya kijiko kimoja cha tangawizi na kijiko kimoja cha asali safi kisha kunywa mara nne kwa siku. Pia unaweza kuweka kiasi kidogo cha limao katika mchanganyiko huu. Kumbuka Maumivu na kikohzi vikizidi muone daktari.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE KUJUA MENGI ZAIDI

No comments:

Post a Comment

.