Monday 17 November 2014

KUHUSU KANISA LINALOPINGA UTOAJI WA CHANJO.

Umoja wa Mataifa na Shirika la Afya duniani WHO zimepuzilia mbali hoja ya kanisa katoliki nchini Kenya ambalo lilipinga kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Pepo Punda nchini humo.
Kanisa hilo lilisema chanjo hiyo inayowalenga wanawake kati ya miaka 19 hadi 45 inatumiwa kinyemela na serikali kuzuia kizazi.
Hata hivyo WHO na Umoja wa Mataifa yamesema chanjo hiyo ni salama na imefanyiwa utafiti huru.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA TUPE MAONI YAKO KUHUSU IMANI HII 

No comments:

Post a Comment

.