Monday 10 November 2014

MAWIGI NA NYWELE ZA KICHINA ZINAVYOSAMBAA KWA KASI

Nywele za bandia ni biashara kubwa sana nchini China , wanunuaji katika maduka ya urembo na saluni huambiwa kuwa nywele hizo ni za kweli, lakini ukiziangalia kwa karibu zaidi, wakati mwingine hazionekani hivyo.

Katika kiiji kimoja, jimbo la Hunan, katikati ya China,Katika mitaa ya kijiji hicho inaonekana kuwa na nywele hizo , baadhi ya nywele hizo ni za kweli lakini nyingine si nywele za binaadamu isipokua manyoya ya mbuzi.
Nywele hizo hufikishwa mpaka mjini Guazngzhou,mji ulio maarufu kwa shughuli za biashara.
Katika eneo hilo hakuna mteja wa asili ya kichina wanunuaji wengi wanatoka Afrika , Nigeria, Ghana,Congo, Afrika kusini,Angola na Uganda

No comments:

Post a Comment

.