Monday 10 November 2014

DALILI NA VISABABISHI VYA PRESHA.



Visababishi vya presha kuwa juu ni pamoja na:-
Chuvi nyingi
Unene uliozidi
Umri mkubwa au uzee
Figo ikiwa haifanyi kazi
Historia ya ugonjwa
wapresha kwenye familia
Ugonjwa wa kisukari
Pombe na uvutaji wa sigara kupita kiasi.
Kutofanya mazoezi.
Kumbuka Mara nyingi presha haina dalili hadi ilete madhara na hivyo huitwa ( silent killer ) muuaji wa kimyakimya ila uambatana na:-
kichwa kuuma
kizunguzungu
kubanwa na pumzi
kutokuona vizuri
kichevuchevu
Kuvimba macho n.k

No comments:

Post a Comment

.