Wednesday 19 November 2014

STRESS NI HATARI ZAIDI KWA WANAWAKE

Mojawapo ya magonjwa yanyoua watu wengi hasa wanawake walio katika umri mdogo ni mshtuko wa moyo ambao husababishwa na kupungua au kukata kwa damu katika moyo na hivyo kusababisha mtu kuanguka ghafla na kupoteza maisha.
Hii huchangiwa zaidi na msongo wa mawazo ambao huwaathiri sana wanawake kuliko wanaume sambamba nakutofanya mazoezi, uvutaji wa sigara, pombe, mafuta mengi mwilini na kisukari. Unashauriwa kupunguza stress, kufanya mazoezi na kuwaona wataalamu wa saikologia ili kuepuka vifo vinavyotokana na mshtuko wa moyo.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.

No comments:

Post a Comment

.