Wednesday 19 November 2014

ROBOTI KUPOTEZA AJIRA ZA WATU ZAIDI YA ASILIMIA 65

Raia wa Uingereza na Australia wako katika hatari ya kupoteza ajira kutokana na mipango ya kazi zao kuchukuliwa na mitambo ya kujiendesha(Roboti). Hii ni mipango ya miaka 20 ijayo ambapo
zaidi ya theluthi mbili ya kazi za ujenzi, uchimbaji, mauzo, usaidizi wa ofisi, ujenzi, usafi n.k zitaanza kufanywa na mitambo hii.
LIKE PAGE NA TUPE MAONI YAKO.

No comments:

Post a Comment

.