Friday, 14 November 2014

MAGONJWA HATARI YATOKANAYO NA UNENE KUPITA KIASI.

Yafuatayo ni magonjwa hatari ambayo husababishwa na unene kupita kiasi hivyo unashauriwa kufanya mazoezi na kupata lishe bora ili kuyaepuka

1. Kisukari 2. Shinikizo la damu (hypertension) 3. Kiharusi (Stroke) 4. Magonjwa ya moyo 5. Tatizo la kutopumua vizuri wakati mtu yupo usingizini (Sleep apnea) 6. Vijiwe katika mfuko wa nyongo (Gallstones) 7. Kiwango cha juu cha lijamu kwenye damu (cholesterol ikiwemo triglycerides) 8. Ugonjwa wa mifupa kama yabisi (osteoarthritis). Saratani ya matiti 9. Saratani ya tezi dume (prostate cancer) 10. Saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa (Colorectal cancer) 11. Matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu kama vile kuvimba kwa vena za miguuni (varicose veins)
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WASILIANA NASI KWA MSAADA ZAIDI. 

No comments:

Post a Comment

.