Monday 17 November 2014

KUHUSU MADAKTARI WALIOMUUA MWIZI WA SIMU.

 Polisi nchini India wanasema kuwa kikundi cha madaktari kimempiga hadi kufa mshukiwa wa wizi katika taasisi ya mafunzo ya udaktari mjini Calcutta mashariki mwa India aliyedaiwa kuiba simu za mkononi.
Chanzo kinasema madaktari hao walimburura mwanamume huyo hadi katika chumba kimoja cha hospitali na kuanza kumshambulia sehemu zake za siri na kumkatakata kwa wembe kitendo amabcho kimewashtua wengi na baadaye kumuacha akiwa hali mahututi ambapo kabla ya kufariki dunia. mpaka sasa watu wawili wanazuiliwa na polisi huku uchunguzi ukiendelea kufanywa.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA TUPE MAONI YAKO KUHUSU MADAKTARI HAWA 

No comments:

Post a Comment

.