Friday 7 November 2014

TAHADHARI KWA WANAOCHANGIA NGUO NA TAULO.


Tabia ya kuchangia nguo za kuvaa au taulo za kujifutia maji baada ya kuoga huchangia kwa kiasi kikubwa kueneza vimelea vya magonjwa kama kaswende, kisonono,  fangasi, upele na mengine yanaweza kuambukizwa kwa urahisi kupitia njia hii ya kuchangia nguo, mavazi ya aina nyingine au matandiko. Jali afya yako epuka kuchangia nguo na taulo. 
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.

No comments:

Post a Comment

.