Kujikuna husababisha mfumo wa fahamu kutoa hormone iitwayo
serotonin ambayo huongeza muwasho na maumivu zaidi katika ngozi. Hii pia husababishwa na
mishipa ya fahamu katika uti wa mgongo ambayo hupeleka taarifa ya kuwashwa kama
maumivu katika ubongo ambao hutoa hormone ya
maumivu (serotonini) hivyo kuongeza kasi ya muwasho na maumivu ndani ya
ngozi.
No comments:
Post a Comment