Thursday 25 December 2014

TAMBUA MAPEMA DALILI ZA FANGASI SEHEMU ZA SIRI.

Dalili na viashiria vya fangasi kwa wanawake ni
 1. Kuwashwa sehemu za uke

2. Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri
3. Vidonda vidogo vidogo sehemu za siri
4. Maumivu wakati wa kujamiana
5. Maumivu au usumbufu wakati wa kujisaidia haja ndogo.
6. Kuvimba na kuwa rangi nyekundu kwa mashavu ya nje ya uke
7. Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu, unaoweza kuwa mwepesi, majimaji au mzito na wenye harufu mbaya.
Wahi hosipitali mapema uonapo dalili like page na tembelea kwanzaafya.blogspot.com kwa ushauri na tiba.

No comments:

Post a Comment

.