Tuesday 10 June 2014

MATUMIZI YA SIMU YANAVYOWEZA KUSABABISHA UTASA

Utafiti unaonyesha kuwa wanaume wengi wako katika hatari kubwa ya kukosa kizazi kutokana na matumizi mabovu ya simu za mkononi. Hii huwaathiri sana wanaume wanaobeba simu kwenye mifuko ya nguo za ndani au kuziacha kwenye mifuko ya suruali zinazobana kwa muda mrefu.

 Athari hizi husababishwa na nguvu ya umeme na mionzi ya radio inayotumika kwenye simu inayopumguza na kuathiri uzalishaji na ubora wa mbegu za kiume ambazo hazina uwezo wa kurutubisha yai la kike.


KWA MSAADA ZAIDI BONYEZA HAPA AU ACHA COMMENT YAKO CHINI


No comments:

Post a Comment

.